Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
9 Reactions
170 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika...
5 Reactions
14 Replies
292 Views
Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF...
0 Reactions
8 Replies
279 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe?
3 Reactions
16 Replies
248 Views
Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo.. "Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii. Ooooh...
1 Reactions
22 Replies
279 Views
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
6 Reactions
25 Replies
385 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,647
Posts
49,424,614
Members
666,019
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom