
29th November 2009, 07:53 AM
|
 |
De Novo
!
JF Premium Member
|
|
Join Date: Sat Apr 2008
Location: Dar - Tz
Posts: 4,117
Thanks: 1,297
Thanked 1,323 Times in 801 Posts
Rep Power: 30
|
|
Re: bima ya taifa ya afya
|
Quote: |
|
 |
|
|
NHIF ni bonge la EPA. Na kuonesha kuwa kuna mkono wa mtu, Bunge tayari limepitisha sheria kuwa kila mfanyakazi lazima ajiunge nalo. Mfano jamaa yangu anatoa 3% ya mshahara kwa mwezi (>60,000/- kwa mwezi) na mwajiri anamchangia kiasi kama hicho. Je kuna uhalali wowote wa kutungiwa sheria ya kulazimisha wafanyakaji kujiunga na NHI? |
|
|
|
|
Mkuu, pesa ya uchaguzi yhiyo!!! we subiri sheria itapitiwa tena mwaka 2011
__________________
I am on the move...
|