|
Quote: |
|
 |
|
|
Seif atawekwa na labda kufukuzwa chama maana amepata amani na kula kwa mgongo wa marehemu walio mwaga damu. Waha tuone na majibu ya CUF yatakuwaje. Hivi Zanzibar kuna viongozi wakuu wangapi ? |
|
|
|
|
Wapo wachache lakini nguvu zao ni kubwa kiasi kulitikisa Bunge la Tanzania na Rais wake, mfano mmoja ni ule wa BUTIAMA walipofoka kidogo tu Bunge zima lilitulia kama vile wapo kwa kinyozi.