Re: Wadau mmesikia haya ya Zanzibar ? CUF imepigwa chenga ama ?
Seif atawekwa na labda kufukuzwa chama maana amepata amani na kula kwa mgongo wa marehemu walio mwaga damu. Waha tuone na majibu ya CUF yatakuwaje. Hivi Zanzibar kuna viongozi wakuu wangapi ?
|