Re: msaada kupanga hiki kitabu kimescaniwa
Mfuatiliaji, kupanga kitabu kilichowekwa kwenye PDF format siyo rahisi. Nakusahuri usome kurasa moja tu kwa siku kuchoka kutapungua (yaani usifunge chote "staple" kitakuchosha) Pia unawza kuruka vielelezo (tables) mpaka raundi ya pili. Nakutakia siku njema!
|