|
Quote: |
|
 |
|
|
ccm na CUF kule visiwani have one thing in common
NATIONAL INTEREST ya visiwa vyao...wanaja in the next 5 to 10 yrs the so called muungano utakuwa ushakwisha au utakuwa hauna nguvu kama ulivyo sasa na kubwa zaidi in the next 20 yrs hautokwepo kabisaa enzi hizo a barrel of oil itakuwa ni $200
in short wote hawautaki Muungano sema nyie watu wa bara ndio mnaoungangania
ohh i dont see anything wrong wakiamua kudeclare Independence from Mafisadi wa Tanganyika |
|
|
|
|
Nimesikia tetesi kuwa kama JK anabwaga manyanga 2010 basi chaguo muafaka (CCM na CUF) ni Profesa Ibrahimu Lipumba. What interests do CCM and CUF have in common huku bara ? Kwa nini CCM na CUF kwa pamoja hawafurahii hatua za Chadema kuwachukulia hatua wakorofi ndani yake ? Je hao wavuja siri za Chadema wanazipeleka kwa nani ?
Kama kuna wakati CCM inahitaji msaada wa CUF, ni sasa - kuivuruga Chadema.