Re: Tafakari... kulikoni ? - what's cooking...connect the dots
|
Quote: |
|
 |
|
|
wote hawautaki kwa maana CUF na CCM znz na common enemy wao ni watawala wa bara ambao if anything ndio wanaoungangania huo muunganio
tafuta kitabu cha ABOUD JUMBE kinachoitwa PARTNERSHIP utaelewa nina maana gani
ninaposema WaTanganyika nina maana watu wa Tanzania Bara na wasio utaka huu muungano wenu ni watu wa Unguja na Pemba
ushanpata hapo? |
|
|
|
|
Lakini kama wote hawautaki huu muungano kwa nini wasiweke madhumuni public na kudemand uhuru publically? Bado sielewi ni kwa vipi kama kweli wana nia ya kujitenga washindwe kufanya hivyo au at least kucome put in the open na kusema sisi CUF na CCM Z'bar tumeuchoka huu muungano na hatuutaki.
BTW nita kitafuta hicho kitabu.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
|