|
Quote: |
|
 |
|
|
"Wote hawautaki" halafu "nyie watu wa bara ndio mnaoungangania" bona hapo siku somi mkuu? Unapo sema wote hawautaki I'm assuming it's the two paties involved which is Tanganyika & Zanzibar then you come to say Tanganyika "mnaoungangania" hauoni hapo kuna ka contradiction? Au? |
|
|
|
|
wote hawautaki kwa maana CUF na CCM znz na common enemy wao ni watawala wa bara ambao if anything ndio wanaoungangania huo muunganio
tafuta kitabu cha ABOUD JUMBE kinachoitwa PARTNERSHIP utaelewa nina maana gani
ninaposema WaTanganyika nina maana watu wa Tanzania Bara na wasio utaka huu muungano wenu ni watu wa Unguja na Pemba
ushanpata hapo?