Re: bongo raha sana:FAKE!FAKE! Tetracycline
Ingawa ni tatizo la zinazendelea... tutategemea nini wakati hata mawaziri wetu wana u-feki feki kwenye profile zao!!!
sasa kuna DuoCotexin nayo kimeo
Tusipoangalia tutaangamia kwa ufeki-feki huu!!!
__________________
I am on the move...
|