Re: German killing of headscarved woman at court raises fears in Europe
Nachukia sana ubaguzi wa namna yoyote ile.
Nchi za Scandinavia, walimu wa kike wa Kiislamu wanaovaa Kininja wakificha nyuso zao huwa hawapewi kazi za kututana na watu kama vile ualimu, udaktari n.k. Sababu ni kwamba mtu anayehudumia jamii lazima aonekae uso ili watu wasitishike. Nilishangaa sana lkn ndio ukweli halisi.
Wao wanahalalisha ubaguzi huu kwa kusema kwamba ukiishi kwa mtu lazima ufuate sheria zake, or else!
|