Re: German killing of headscarved woman at court raises fears in Europe
Kwa kweli koti Ugermani wanishangaza kama nimelewa hiyo article vizuri ni kwamba kitendo hicho kilifanyika kotini...??? wat..how come???, kwa kawaida lazima kuenda through security check kabla hujaingia kotini, mi natafsiri kesi kotini ugaibuni na lazima wanicheki kwa makini, nilikuwa na dawa za maumivu kwenye mkoba wangu hiyo pia walichukua na kunihifadhia mpaka nitakapo toka, so kwa kweli its unbeliveable......
|