Re: German killing of headscarved woman at court raises fears in Europe
Hili jambo ni hatari sana. Lakini tunahitaji kuliangalia jambo hili kwa mapana zaidi. Inaelekea kuna upepo unavuma all over the world juu ya jamii ngeni kuingia katika taifa fulani na wenyeji kuanza kuwa na wasiwasi juu ya uwezekano wa kumezwa na wageni na hata taratibu zao za maisha kuanza kubadilika ili nao wageni watambuliwa kwa taratibu zao.
Nini kinaendelea Ufaransa na hutuba kali ya Rais wa aliyoitoa bungeni juu ya mavazi ya kiislam??
Nini kinaendelea Australia juu ya waislam/waarabu kutakiwa kuheshimu taratibu za Australia na kama hawapendi basi sio mahala pao pa kuishi??
Na haya tena Ujermani!
Kuna hofu kuwa nchi ya Uingereza kwa miaka hamsini ijayo kuna hatali majority wakawa Waarabu/Wapakstani/Wahindi na uislam ukatake over culture ya Uingereza nzima>
__________________
nsololi
|