Re: German killing of headscarved woman at court raises fears in Europe
Suala la uvumilivu kati ya jamii ni la msingi saana. Jamii zote katika dunia zinategemeana, hakuna jamii inayoweza kusimama bila kutegemea nyingine. Katika hali ya aina yoyote hakuna mauaji ya kufurahisha aidha yanagusa mtu mmoja mmoja au imani ya kundi fulani. Kwa wale wapenda amani, haki na usawa mara nyingi na zote hawafurahishwi na hukemea yale yote yanayoashiria muelekeo wa machafuko au visasi. Naamini ni fundisho kwa Taifa hilo na si kuhusu waislam pekee bali na jamii nyingine zoote zenye haki ya kuishi
|