Re: German killing of headscarved woman at court raises fears in Europe
|
Quote: |
|
 |
|
|
Wajerumani hawakuanza ubaguzi leo; tangu enzi za Hitler. Lakini hao Nazi people wanapoteza muda wao bure sasa hivi; kwa sababu kuna Waturuki wengi Waislamu ambao wanaishi Ujerumani. Chuki yao itawapa nguvu zaidi Waislamu kuwa united against Nazi. Kazi kwao Nazi peoples.. |
|
|
|
|
You are right mkuu Wajerumani wana kuaga wabaguzi sana. Bila kusahau Waingereza na Wafaransa.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
|