Re: Obama in Ghana
|
Quote: |
|
 |
|
|
I concur with you 100% hata nadhani kama Obama mwenyewe
angesikia angewaambia waendelee na shughuli zao. Waafrika samtaim
tunajishukisha hadhi wenyewe tu hata bila sababu. |
|
|
|
|
You are right mkuu. Sasa kwa kauli kama hizo wengine wakitusikia na kutu treat kama second rate humans tulalamike nini. Matatizo mengine waafrika tuna karibisha wenyewe unknowingly or knowingly. Kuna watu weusi subconsciecly wana waweka westerners juu. Ukoloni bwana upo in our minds wao waka take tu advantage of what was already inside of us.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
|