Re: Tanzania yaweka Rekodi Msaada wa EU
Ndio tunazidisha kuwa na ukungu kwenye akili zetu hali hii ni lazima tuikomishe kwa kukusanya kodi nyingi kutoka kwetu then hawa nao wanatupa Kodi za mwananchi wao baadae zinakuja kwa wachache na kutofanya mambo ya maendeleo, Tazama trend za misaada hiyo mingi kati yao inakwenda kwenye consumer products ambazo sio nzuri
|