|
Quote: |
|
 |
|
|
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee.
|
Quote: |
|
 |
|
|
Umetia chumvi mno mkuu! |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Naomba nikiri kosa, comment yangu niliitoa kwa kudhani
ThinkPad anazungumzia bei; kwani yeye anazungumzia uwezo wa mashine.
We hope to hear more from you ThinkPad kuhusu uwezo wa hicho kifaa. Graphic designers mate yanawatoka wakiona hiyo picha
Unafanya vyema kuuza vitu vipya. Kuna watu wanakusanya used computer USA wanasafirisha kuleta bongo wakati (USA) kuna vifaa vipya kwa bei poa sana; wangenunua badala yake.
Ni ufahamu mdogo tu wa wauzaji pamoja na watumiaji, kwani bongo mahitaji ya computer for heavy professionals yapo.Utakuta mtu analalamika computer ni slow
(kwa kazi zake) japo ni mpya, asijue kwamba anatumia computer isiyo na uwezo wa kutosha.