|
Quote: |
|
 |
|
|
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kw amatumizi gani Mkuu.......lakini kwa brand ya Mac....hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......
Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini? |
|
|
|
|
Bora umesema wewe mzee, Hiki kinu kinamfaa Lazy .
Bei ni ndogo ukipita madukani hapa dar ni 3,700$ cash bila chenga.