|
Quote: |
|
 |
|
|
Mkuu hapa hatufundishi watu kufanya uhalifu.Ni vigumu sana kuweza kujua password ya mtu kwa kutumia njia unayotaka wewe.Ukishajua password yake unataka umfanyie nini? |
|
|
|
|
ndo maana mkuu nimesea kabisa nafahamu sio vyema, lakini kuna mwizi wangu namfukuzia unaona mkuu, sasa ndo nataka nimnyake
narudia tena kama unajua plz ni-PM tu