Re: Hacking emails
|
Quote: |
|
 |
|
|
hi everyone here in JF!
jamani hivi ukitaka kujua password ya e-mail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje?
mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua there is some one is blackmailing me through email.
plz, nawasilisha. |
|
|
|
|
Mkuu hapa hatufundishi watu kufanya uhalifu.Ni vigumu sana kuweza kujua password ya mtu kwa kutumia njia unayotaka wewe.Ukishajua password yake unataka umfanyie nini?
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
|