Re: Second HD Installation Problem.....
kwanza kabisa hakikisha hdd yako inayoweka ni jumper yake ipo kwenye sehemu ya slave au ikiwezekana itoe kabisa ndipo uiweke na pia uhakikishe kuwa data cable zote na power ya kwenye hdd imeikonect kama ile iliyo kama master pia hakikisha hiyo iliyo na os jumper yake ipo kwenye master.
|