JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Single Post - Tetesi: Ze Utamu blogger under arrest?
View Single Post
  #339  
Old 20th June 2009, 12:28 AM
Mlalahoi Mlalahoi is offline
Mlalahoi a small fish in a big pond
JF Senior Expert Member
Points: 605,845, Level: 100 Points: 605,845, Level: 100 Points: 605,845, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Thu Aug 2006
Location: London, UK
Posts: 1,238
Thanks: 85
Thanked 128 Times in 58 Posts
Rep Power: 66
Mlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the roughMlalahoi is a jewel in the rough
Default Re: Ze Utamu blogger under arrest

It to early to say anything lakini kilicho bayana ni kwamba chanzo cha habari hiyo-blogu ya Chemi che Mponda-kimeshaonyesha kuwa na walakini.Halafu Chemi mwenyewe anajitambulisha kama "amewahi kuwa SENIOR REPORTER wa Daily News kwa miaka kadhaa".Ungetaraji SENIOR REPORTER awe makini kutofautisha TETESI na HABARI KAMILIFU.

Tuangalie pande zote mbili za shilingi.Kuweka picha ya huyo anayedaiwa kuwa ndio mwenye zeutamu ilhali hakuna uthibitisho ni jambo lisilopendeza hata kidogo even if wengi wetu tungependa kujua WHO'S THE UTAMU.Lakini tumjue kwa njia sahihi na wala sio speculative.What is being done is exactly the same as what zeutamu did to make himself the most popular hated figure in the history of Tanzanian online media.How do we know kwamba hiyo source ya habari haina beef na mtuhumiwa?Zeutamu ililaumiwa zaidi,si kwa kuwataja wazinzi hadharani,bali ku-intertain beefs za watu binafsi (waliotalikiana/walioomba wakanyimwa/nk).

I wouldn't be surprised if someone gets sued for this make-believe rumour.
Reply With Quote