|
Quote: |
|
 |
|
|
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,
- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.
- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.
- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.
Ahsante Sana Wakuu.
William. - Community Organizer (CO) |
|
|
|
|
Mkuu William,
Poleni na mambo haya. Kama ni kweli kuwa Peter anasingiziwa basi tumwombee ili aepushwe na matatizo ya kupakaziwa. Labda ungemuuliza kwa nini amefunga akaunti yake ya
www.hi5.com [
hii hapa] kama alivyojieleza kwenye website [
hii hapa]. Je, Peter ni raia wa Tanzania au Uingereza au ana duo nationality? Kwenye hiyo website anaonyesha kuwa ni National na Citizen wa Tanzania na United Kingdom.
Poleni Mkuu, tusubiri pale ukweli utapopatikana.