Re: Ze Utamu blogger under arrest
Binafsi nayaamini maneno ya William kwasasa. Mmiliki wa ze utamu lazima atafutwe na apatikane, hata hivyo zoezi hilo linapaswa kutowa-victimize watu wasiohusika. Kwa hali ilivyosasa mtu yeyote atakaye tajwa kumiliki huo mtandao atachukiwa na jamii hata kupewa hukumu ya 'wenyehasira' bila hata kutafuta ukweli. So, lets be careful with these hear say.
|