|
Quote: |
|
 |
|
|
1.William anaweza kusema ukweli, usim "misunderestimate"
2.I suspect serikali ya Tanzania iliiomba tu serikali ya Uingereza kuisaidia kumtafuta huyu bwana.Kwa vile sasa hivi with terrorism and all serikali za magharibi zinakuwa very eager ku cooperate, hasa kwa kesi kama hizi, hapa serikali ya Uingereza imeshaifanyia favor serikali ya Tanzania basically kwa kum order ISP tu afanye tracking na kuangalia malipo ya credit card, ambayo huyu bwana alikuwa majununi kalagabaho kiasi cha kutumia credit card zake mwenyewe na kuacha a paper trail that is longer than the Nile.Kwa hiyo inawezekana kwamba kuna ki effort cha ufuatiliaji kimetumiwa lakini sioni kama kumfuatilia mtu kwa ISP na kutrack credit card kutatumia hela nyingi.
Bottom line, tusitake kutumia kesi kubwa za mafisadi ku excuse hizi tabia chafu.Ningependa kuona watu wakiipa pressure serikali kwamba kumbe ikiamua kufuatilia vitu inaweza, kwa nini isifuatilie maswala ya EPA na ubadhirifu mkubwa mwingine? |
|
|
|
|
Mkuu Bluray,
Sija "underestimate" mkuu William hata kidogo lakini nilichojaribu kusema ni ngumu William kuja hapa akasema ni kweli ndugu yangu ndiye aliyekuwa anamiliki ze utamu. Hata hivyo tayari ametoa maelezo yake yanayoonyesha kwamba ndugu yak hausiki na wala hajawahi kuulizwa chochote na yeyote juu ya habari hii.
Tuliambiwa ameisharudshwa Tanzania ili kujibu mashtaka!!!!!!!
Tiba