Re: ICT Manager - Business Services
Hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kasi mpya aingie pale...afanye mabadiliko ya server nzee na computer waweke vitu vipya....vya kisasa.....
Ila hapo nafasi kama hiyo utakuta kuna zee linahudhulia mikutano na kwenda kwenye semina nje ya nchi hakuna jipya.
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology.
|