|
Quote: |
|
 |
|
|
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come |
|
|
|
|
Niliwaonya juu ya namna wanayotumia katika kumuandama huyu jamaa.
Naona bado wanaendelea tu, impact yake nadhani wako tayari kukabiliana nayo.
Walinywea baada ya kujua ni mtoto wa 'mwenzao' leo wameamua kumbana na kumrudisha Tz?
Ngoja tusikie ni mashtaka gani atafunguliwa. Family yake itakubali?