Re: Problem With My Microsoftoutlook
Umecheki na provider wako kujua maximum limit ya file size inayotakiwa kutumwa? Kama ulifanikiwa kutuma any mail before basi kutakuwa na email yenye size kubwa ambayo ndio inakwamisha kutuma nyingine. To remove cancel SEND/RECEIVE dialog box then delete one by one kuanzia iliyopo chini. Au trick nyingine chomoa cable ya network then ufanye nilichokwambia.
Labda kufahamu zaidi. Account gani umeset kwenye outlook yako? is it POP3 au IMAP?
Regards.
|