Re: Rostam Aziz Ajibu Mapigo - Atoa Tamko Rasmi
Kwanza wamechelewa kupeleka hata huko mahakamani, mbona Mengi mpiganaji aliwambia wapeleke siku ileile!!! Wanatafuta njia ya kujiosha lakini waangalie mtu mzima hawezi kusema kitu hovyohovyo tu, anajua anachosema na wasije wakaoga maji machafu bila kutegemea!!
__________________
No one will help to build your Future Tanzania !!!! It's you and me , START NOW !!!
|