
16th April 2009, 10:24 PM
|
 |
Brutus
has no status.
Super Moderator
|
|
Join Date: Tue Jul 2007
Location: Rome
Posts: 159
Thanks: 51
Thanked 6 Times in 6 Posts
Rep Power: 23
|
|
Re: Anti-Obama Tax Payers Tea Parties.
|
Quote: |
|
 |
|
|
Tatizo la hawa haters wengi wana uelewa finyu wa tax kama huu nilioonesha hapo kwenye bold. Wanasikiliza kina Rush, Hannity ambao ni real haters, kwa nini wanapinga kitu ambacho Obama ndiyo kwanza ameagiza timu kudraft the code? Huu ni wendawazimu wa kibaguzi wa rangi. Obama anarudisha rates zilizo kuwa wakati wa Bill Clinton, sasa mbona kipindi kile hizi TEA parties, right wing rethugs extremists, hatred gatherings hazikufanyika?. Anything proposed by Obama for them is a problem and they've said that they don't want him to succeed why?, because black people will be proud of him, and there's a possibility for him to have 8 years which they cant afford to be under black presidence |
|
|
|
|
Kwa nini mtu anayetofautiana ideas na liberals anaitwa hater?
__________________
Et tu, Brute?
|