|
Quote: |
|
 |
|
|
Mkuu...You're right on the money....Fox news wamegeuza maana ya hii TEA party na kuifanya "Anti-Obama...No Taxation movement" na hiyo siyo maana yake.
Infact the main organizer of this whole movement made it very clear yesterday that this was not a protest for Tax but more or less "large Govt spending" which in turn impacts tax payers. He also complained about FOX news for having diverted the whole meaning of the TEA party. |
|
|
|
|
Haters walitafutia mahali pa kutokea na bado wataendelea kufanya hivyo,wanadai eti ni movement itakayopeleka revolution...Sasa naweza kuona ni kwanini kuna yule mh alitabiri kuwa USA inaweza kugawanyika...Mkuu,this is just the beggining,the way i see it kuna wamarekani ambao hawajui whats going on other than hate politics,this time a bro in the highest office,doesn't set well in the minds of many nuts.