|
Quote: |
|
 |
|
|
YNIM,
Kwa nini basi usigombee uraisi? Mwenzenu Bwana Shamba Sumaye yalimshinda, sasa unalalamika nini? |
|
|
|
|
Nalalamika kwasababu ngwinism in Tanzania inaua nchi......yule nae alikuwa na diploma tu, my grandpa alikuwa na elimu ya kilimo kushinda Sumaye....kama wewe na yeye ni ngwini tu! hoooovyo tena bure ni ghali!