Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?
Halafu angalia mishahara mnayolipa MDs na Mainjinia ni aibu tupu....hapo Kenya tu wanalipa karibu mara mbili ya mshahara wa daktari wa bongo, hivi tatizo lenu ninyi mangwini ni nini hasa?? Ndio maana nchi haiendi popote kwasababu brains zinazo-run nchi zimesomea vitu vya kufikirika na hazina akili!! Waziri mkuu ana digrii ya kuchonga vinyago, kuchora katuni na kucheza maiigizo.....only in Tanzania! Bwahahahahaha....
Mangwini mnaua nchi...
__________________
“Luck is truly where preparation meets opportunity”
-Randy Pausch
|