|
Quote: |
|
 |
|
|
Mwl. Kichuguu, jaribu kuwasiliana na bro Michuzi ana record na picha nyingi kuhusiana na warembo wa nchi yetu... itakuwa poa sana kama uta recompile list na kujumuisha hata washindi wa pili na watatu katika michuano!! |
|
|
|
|
Nadhani Michuzi naye ni mwanachama wa hapa, ama sivyo ningeshauri Max am-recruit kwani atakuwa resourceful sana.