Re: *Miss Tanzania 2008*
Mwl. Kichuguu, jaribu kuwasiliana na bro Michuzi ana record na picha nyingi kuhusiana na warembo wa nchi yetu... itakuwa poa sana kama uta recompile list na kujumuisha hata washindi wa pili na watatu katika michuano!!
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
|