|
Quote: |
|
 |
|
|
Jamani,
Nasreem alifanyaje huko kwenye mashindano ya Miss World? Niliangalia semi-fanal wala sikuona sura yake kabisa. |
|
|
|
|
Ndugu yangu mambo si mambo, yale yale. Labda tutafute kocha wa kigeni aweze kuwafua wadada wetu!!!
Je hatuna uwezo wa kung'ara miss world? Au tutakuwa tunaendelea na usemi wetu ule ule wa ........Kama Nancy..........
Nini Kifanyike?????????????????
Nasreem karibu nyumbani kumbuka nyumbani ni nyumbani