|
Quote: |
|
 |
|
|
dah picha namba nane na tisa naona mpigaji alikua anajitahidi kupata de angle of elevation kubwa kuliko....anatamani angekua viatu!duh
namba 22 mweee na reserve zangu comments
ol in ol t seems wabongo tunazo kinyama! hizi ndo picha za kuwashow wawekezaji toka nje na wapenda toa misaada wajue hali halisi ya wachache wa nchi zetu africa!
ujiji huko hiyo buki 10 ya kiingilio sijui wao kuipata na kuspend kwa week 2 ni ndoto! |
|
|
|
|
Kitu ambacho nimenoti hapa ni kwamba Bongo ingawa nchi yetu ni maskini sana lakini wananchi wake ingawa wana matatizo kibao lakini pamoja na matatizo yote watanzania bado wako HAPPY hamna STRESS