|
Quote: |
|
 |
|
|
Mimi nina blackberry , natumia digital camera pamoja na vichomeka vingine katika komputer napenda antivirus hiyo iweze kuscan vyote hivyo niwe safe |
|
|
|
|
Virus ya PC haiwezi kurun kwenyeCamera,BlackBerry etc. ila inaweza ikajicopy na kuingia kwenye PC nyingine itakayo unganishwa na kifaa. Antivirus huwa inarun kwenye background kwenye PC na kuscan kila fail inayokua copied, so itadetect hiyo virus.
Pia unaweza ukascan device yoyote inayoonekana kwenye My Computer, just right click device select Scan with AVG(Depends on the AntiV you are using).