|
Quote: |
|
 |
|
|
neno diriki ni sawa na thubutu ambayo kwa cha wenyewe wanasema "dare". Venture nadhani inaelekea huko huko na yawezekana kutumia "diriki" kutafsiri "venture" laweza kuwa sahihi. |
|
|
|
|
Venture is an undertaking which is daring.
Kuna tofauti kati ya kudiriki na kuthubutu?