Re: Maana ya neno "Venture"
|
Quote: |
|
 |
|
|
Mkuu Mkjj,
Hilo neno maana yake ni "KUDIRIKI" - likiwa na maana "kufanya jambo fulani pamoja na kuwa jambo hilo linaweza kuwa na hatari au athari mbaya". |
|
|
|
|
neno diriki ni sawa na thubutu ambayo kwa cha wenyewe wanasema "dare". Venture nadhani inaelekea huko huko na yawezekana kutumia "diriki" kutafsiri "venture" laweza kuwa sahihi.
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
|