|
Quote: |
|
 |
|
|
Kwa sababu hawa Nyoka weusi walitukandamiza kwenye mechi ya kimashindano na kutuharibia safari (kama ilikuwepo) yetu ya kwenda Bondeni 2010 (na Angola), basi hatuwezi kusema tumelipiza kwa kuwafunga kwenye mechi ya kirafiki.
Tusubiri tukutane nao kwenye mechi ya kimashindano.
BTW: Viva Stars kwa ushindi, yaweza kutusaidia kupanda kidogo (labda hadi kwenye top 100) kwenye chati ya FIFA. |
|
|
|
|
Bora umeliona hilo......jana hatatungeshida bao kumi na moja, ilikuwa si venue ya kulipiza kisasi, ilikuwa ni mechi ya kirafiki kwaajili ya kujipima nguvu tu!
Stars wakitaka kulipiza kisasi wasubiri mashindano ya kufuzu tena world cup...hope itakuwa Brazil 2014, ndipo tulipize kisasi au hata mshindano ya kufuzu Kombe la Africa ...sio mchezo wa kirafiki!
Tufungue macho na ubongo jamani ...eeeh!