
20th November 2008, 09:16 AM
|
|
Ijabu Issa
has no status.
Member
|
|
Join Date: Tue Apr 2008
Posts: 45
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
|
|
Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK
|
Quote: |
|
 |
|
|
Netanyahu,
Mchango wa Lowassa kwenye jimbo lake la Monduli ni mkubwa sana kiasi kwamba kipindi kilichopita, hakupata mpinzani...alipita bila kupingwa! Vile vile katika uchaguzi ujao 2010, kutokana na maendeleo aliyopeleka, na mchango wake mzuri katika jimbo lake, atapita bila kupingwa! labda aamue mwenyewe kutosimama! |
|
|
|
|
Ni kweli hakupata mpinzani kwa sababu ya kutumia jamaa wa special branch.
|