|
Quote: |
|
 |
|
|
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwamtumu Mahiza amevitaka vyombo vya habari nchini kuachana na habari zinazohusu sakata la wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje, (EPA) pamoja na masuala ya migomo ya walimu kwa madai kuwa masuala hayo tayari yametafutiwa ufumbuzi
Mahiza alisema anachukizwa kuana masuala ya EPA na migomo ya walimu ikishikiliwa bango kila kukicha wakati tayari malalamiko hayo yamefika mwisho kwa sababu walimu wameanza kulipwa na watuhumiwa wa EPA wameshafikishwa Mahakamani. |
|
|
|
|
Tafadhali mpelekeeni ujumbe huu
Tutaacha kuzungumzia EPA pale kesi itakapo isha kwani tuna experience tuliyoipata Richmond alipojiuzulu Lowasa tulimaliza na nyie mkatulia sinahabari imefikia wapi hope JK atatuambia mwisho wa mwaka kama atakuwa nchini
na walimu mpaka alipwe mwalimu wa mwisho kwa sababu tumeyaona ya wazee wa East Africa.
ya migomo ya chuo mpaka rais azungumze suala la vyuo vingi kufungwa kwa pamoja sio la kulivyalia suti na kwenda LIBYA km hakuna kitu ni swala la kuahirisha safari na kutuma ujumbe kuna emegency imetokea nchini kwangu sitaweza kuhudhuria kikao anyways ndo vijana wa siku hizi wazee wamelala mlangoni kwakwe yeye anapita na ving'ora kama ni takataka tu poor me...