|
Quote: |
|
 |
|
|
Mwantunu, hivi hujui watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani nayo ni habari? |
|
|
|
|
waambie mpaka tujue mwisho wake kama alitegemea mambo yameisha ndo kwanza unaanza na tukitoka tutarudisha richmond, meremata au kiwira mpaka 2010 ndo utaisha sasa hivi itakuwa EPA update si jui tuifungulie kabisa forum yange na magazeti watenge ukurasa ulioandikwa HABARI ZA UFISADI WA EPA na TV kipindi cha EPA hewani tutabeba mpaka kizazi cha saba