
20th November 2008, 07:16 AM
|
 |
Bubu Ataka Kusema
says life is GOOD!
JF Premium Member
|
|
Join Date: Sun Feb 2007
Location: Mfaranyaki
Posts: 12,663
Thanks: 1,027
Thanked 1,188 Times in 690 Posts
Rep Power: 2049
|
|
Re: Ukistaajabu ya Mussa...
|
Quote: |
|
 |
|
|
Tukinyamaza, mawe yatapiga kelele. In fact CD ndiyo kwanza inaanza kukolea. Hapo EPA hakuna kunyamaza mpaka kieleweke halafu itafuata Meremeta, Deep Green, IPTL, Richmond, Kiwira, CIS, madai ya wastaafu EAC na .....haponi mtu. |
|
|
|
|
Habadili mtu CD mpaka kieleweke! Muziki ndiyo kwanza umeanza na waruka majoka wanaifurahia CD hiyo. DJ can you replay my favourate number EPA again and again and again!!! Ingekuwa mwaka 47 EPA ingeshasahaulika siku nyingi tu lakini hii ni 2008 mpaka kieleweke tumechoshwa na usanii usiokwisha.
__________________
~*~Life is Good~*~
|