Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
|
Quote: |
|
 |
|
|
Mimi nadhani kabla sijaandika sana jaribu kuitafakari signature yangu kisha nitarudi na maelezo kidogo tu yanayoendana na hiyo slogan chini. |
|
|
|
|
Nimeiona hiyo slogan mkuu.Sasa nasubiri mchango wako.Na wewe ni risk taker au..?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.
|