|
Quote: |
|
 |
|
|
That's very simple brother! baada ya kumaliza chuo niliweka malengo ya kupat ajira yenye angalau mshahara wa laki mbili hivi....nikapata zaidi ya hapo, lakini uhalisia wake mpaka sasa najiona sijafanikiwa in life eti kwa kupata more than 200k! nataka nikwambie, ask hao mabilionea wakwambie kama wanaona wanamafanikio, kama sio wewe ndo unaona wanamafanikio! Mi nafikiri mafanikio ya mtu hasa yatapimwa na recognition yake kwenye jamii, how does someone brands himself/herself mbele ya jamii! Kwa mfano, watu kama Mwl. Nyerere, mi naweza sema he was a very successiful man in Tz etc...hizi material things ni vitu vya ziada tu mkuu!
That's ma views mkuu |
|
|
|
|
Natafuta ni kitu gani kilichomfanya mtu kama Henry Ford wa kwanza kufanikiwa katika kutengeneza gari na hadi kufikia karne hii magari ya Ford yakawa bado yapo.Jamii imtambue isimtambue kama kafanikiwa au la...yale magari yake ndiyo yanayodhirisha kufaulu kwake katika maisha yake na ndiyo yanayomfanya awe successiful na kutambulika baadaye kwa jamii.Achievement yake ilikuja kutambulika na jamii baadaya ya yeye binafsi ku triumph.
Kuweka malengo ya kupata ajira ya mshahara wa laki mbili,hayo hayakuwa malengo halisi bali simple wish.Lengo halisi ni kuwa na burning desire ili kupata mafanikioa in a life time si temporary wish kama hiyo ya mshahara.
Hilo la Nyerere kuwa successiful man..mimi silitambui.Success inaanzia nyumbani kwenye level ya family.Cheki familia yake utajua naotaka kusema nini.Nyerere as a man was never successiful.Alitaka kujenga Taifa la kiujamaa...where is that?Kama Rais hakuwa successiful kabisa!Mimi nataka kujua kwa nini Professor Machunda hakujenga hata kibanda...cha maana huko Ukerewe lakini mtu kama Mwita Gachuma ni tajiri mkubwa.Education ya Machunda ilikuwa na maana gani?