JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Single Post - Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
View Single Post
  #4  
Old 19th November 2008, 12:30 PM
Mambo Jambo's Avatar
Mambo Jambo Mambo Jambo is offline
Mambo Jambo has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 274,073, Level: 100 Points: 274,073, Level: 100 Points: 274,073, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Fri Jul 2008
Posts: 845
Thanks: 32
Thanked 106 Times in 54 Posts
Rep Power: 23
Mambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enoughMambo Jambo will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
Alnadaby;324342]Mafanikio ya mtu ni pale anapofikia lengo lake,anapokipata alichokuwa akikitaka.Kama lengo lengo lake katika maisha ni kuwa fundi mchundo basi akifaulu hapo anakuwa amefanikiwa.
Unapoweka lengo la kuwa bilionea ukawa hivyo basi hapo utakuwa umefanikiwa.Simple au vipi?[/I]
Kama lengo lake lilikuwa ni kupata PHD na akapata hiyo PHD na baadaye ukakutana nae na laptop yake huku akiendesha semina hapo utasemaje...

Kwa kuwa lengo lake halikuwa kuja kuwa na fedha nyingi, lengo lake lilikuwa ni kupata PHD, na sasa ana PHD anaishi mlimani uni ana-pick-up 4WD iliyochoka na Ngome wawili wa maziwa, hapo utasemaje, kwa kuwa lengo lake lilikuwa ni kupata PDH na sasa anayo.

WHAT'S SUCCESS FROM YA POINT OF VIEW....au ni success ya Jay-Z kwenye american gangsta.

Twende kazi.
MJ
Reply With Quote