Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
Mafanikio ya mtu ni pale anapofikia lengo lake,anapokipata alichokuwa akikitaka.Kama lengo lengo lake katika maisha ni kuwa fundi mchundo basi akifaulu hapo anakuwa amefanikiwa.
Unapoweka lengo la kuwa bilionea ukawa hivyo basi hapo utakuwa umefanikiwa.Simple au vipi?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.
|