Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
Kwanza kitu cha msingi hapo mheshimiwa tafuta a global definition ya MAFANIKIO or SUCCESS.......lakini kwa taarifa yako kila mmoja hapa anaweza kuja na definition yake tofauti na mwingine. So muhimu, tukubaliane kwanza katika jamii, Mafanikio or success ni nini na je, ni wakati gani utasema mtu fulani kafanikiwa? je ni kwa kuwa na majumba, mihela, magari,mademu bomba, cheo kikubwa, mcha Mungu etc ......halafu endelea from there!
__________________
“Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning
- GLORIA STEINEM.
|